MASHARIKI YA KATI
-

Saudi Arabia yafunga anga na kambi zake za kijeshi kwa Marekani
Vyanzo vyenye taarifa katika eneo la Ghuba ya Uajemi vimeripoti kuwa Saudi Arabia imefunga anga yake pamoja na…
-

Jeshi la Iran lapiga meli za Marekani baada ya Marekani kukiuka maagano ya usitishaji wa vita
Msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al‑Anbiya ametangaza kuwa jeshi la Marekani limetekeleza mashambulizi dhidi ya meli za…
-

Washington Post: uharibifu uliofanywa na Iran ni mkubwa kuliko maelezo
Uchambuzi wa picha za satelaiti uliofanywa na gazeti la Washington Post unaonyesha kuwa tangu kuanza kwa vita, mashambulizi…
-

Trump Aitaka Iran Kutoa Jibu la Haraka kwa Pendekezo lake la Amania
Kituo cha Al-Arabiya kikinukuu chanzo cha serikali ya Pakistan kimeripoti kuwa Rais wa Marekani ameiomba Iran kutoa jibu…
-

Wakristo nchini Lebanon walaani vikali jeshi vamizi la Israel kukosea heshima matukufu yao
Wakatoliki nchini Lebanon wameeleza masikitiko yao kufuatia picha iliyoenea mtandaoni ikimuonyesha askari wa Israeli akivuta sigara akiwa ameishirikisha…
-

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba “Project Freedom,” mpango unaoongozwa na Marekani kwa ajili ya harakati za meli kupitia Mlango wa Hormuz, utasitishwa kwa muda.
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitishwa kwa muda kwa mpango unaojulikana kama “Project Freedom,” ambao ni mpango…