Donald Trump, Amtaka Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, Kutotoa Jibu la Haraka Kufuatia Shambulio la Makombora.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameripotiwa kumtaka Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutotoa jibu la haraka kufuatia shambulio la makombora, na badala yake kusubiri kwa siku chache ili kutoa…