Pentagon yashutumiwa kuficha taarifa za majeruhi wa wanajeshi wa Marekani katika vita na Iran
Ripoti ya CNN yadai Idara ya Ulinzi ya Marekani imekuwa ikichelewesha kutangaza idadi ya wanajeshi waliojeruhiwa kutokana na mashambulizi ya Iran, ikisema hatua hiyo inalenga kulinda usalama wa wanajeshi wake.Idara…