“Urusi imechagua vita badala ya amani” Zelensky baada ya putin kukataa wito wake
Akijibu uamuzi huo wa Urusi, Rais Zelenskyy amesema kuwa kwa kukataa wito wa mazungumzo, Urusi imeonesha wazi msimamo wake wa kuendeleza mapigano. “Kwa mara nyingine tena, Urusi imechagua vita badala…