Macron aonya dhidi ya matumizi ya nguvu Iran: ” utawala hauwezi kubadilishwa kwa mabomu”
PARIS, UFARANSA Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametoa msimamo thabiti na wa tahadhari kuhusiana na mzozo wa Iran, akisisitiza kuwa mabadiliko ya utawala nchini humo hayawezi na hayapaswi kupatikana kupitia…